Main Page

Download
About Islam
Islamic Pillars
Prophetic Tradition
Islamic Encyclopedia
Non-Muslims
Legislation
Creed
Prophet's Stories
Islamic history
Islamic Architecture
Library
Islamic conferences
Islamic conferences
   Qurani /3- SURAT AL - IMRAN/
 
Aya 39

39- Hapo Mwenyezi Mungu Alimjibu dua yake. Wakamlingania malaika hali amesimama akielekea kwa Mola wake katika mahala pake pa kufanyia ibada wakimweleza kwamba Mwenyezi Mungu Anakupa habari njema ya kupata mtoto jina lake Yahya atakayemwamini Isa (A.S.) na atakayezaliwa kwa Neno la Mwenyezi Mungu kinyume na wanavyozaliwa watoto wote. Mwenyezi Mungu Atamjaalia (Yahya) kuwa kiongozi kwa watu wake kwa elimu na uchaji, kujiweka mbali na matamanio na kumfanya kuwa kati ya Manabii na watu wema.

Previous         Next

Main Page Contact us Links About us Site Map