Qurani
/
3- SURAT AL - IMRAN/
Aya 40
40- Alipopewa habari hii njema, alielekea kwa Mola wake akiwa na hamu kubwa ya kujua ni vipi mtoto huyu atapatikana bila ya kuwepo njia za kawaida, yeye akiwa kikongwe na mkewe tasa! Mwenyezi Mungu Akamjibu kwamba wakati wowote Anapolitaka jambo, basi Hulipatia njia au Huliumba bila ya njia zinazojulikana. Kwani Yeye Hulifanya Alitakalo.
Main Page
Contact us
Links
About us
Site Map