Main Page

Download
About Islam
Islamic Pillars
Prophetic Tradition
Islamic Encyclopedia
Non-Muslims
Legislation
Creed
Prophet's Stories
Islamic history
Islamic Architecture
Library
Islamic conferences
Islamic conferences
   Qurani /3- SURAT AL - IMRAN/
 
Introduction

(Imeteremka Madina na aya zake 200)

Kupitia visa inavyovielezea, Qurani Takatifu inazungumzia juu ya 
Kanuni za Mwenyezi Mungu katika ulimwengu na mafunzo 
yanayopatikana. Katika visa hivyo, Qurani Takatifu inayabainisha mengi 
yanayohusiana na akida, hukumu na mienendo. Katika sura iliyotangulia, 
Qurani imeelezea sehemu ya sera ya Bani Israili ambapo ndani yake kuna 
picha nyingi za kukengeuka kwao.
Katika sura hii, Qurani inaielezea sehemu nyingine ya upotovu na 
ukengeukaji wao na inatoa maelekezo juu ya namna ambayo Muumini 
inabidi awe katika akida yake na mwenendo wake. Aidha, inauweka wazi 
ukweli wa dini ya mbinguni na kuziashiria adabu za majadiliano. Pia, 
inaelezea juu ya desturi katika hali ya ushindi na kushindwa. Kadhalika, 
inabainisha daraja za mashahidi siku ya kiyama, malipo yao 
watakayolipwa sawa wake kwa waume na njia ya mafanikio.
Sura hii, inaanza kwa namna ile ile ilivyoanza sura iliyotangulia.

        Next


(Imeteremka Madina na aya zake 200) Kupitia visa inavyovielezea, Qurani Takatifu inazungumzia juu ya Kanuni za Mwenyezi Mungu katika ulimwengu na mafunzo yanayopatikana. Katika visa hivyo, Qurani Takatifu inayabainisha mengi yanayohusiana na akida, hukumu na mienendo. Katika sura iliyotangulia, Qurani imeelezea sehemu ya sera ya Bani Israili ambapo ndani yake kuna picha nyingi za kukengeuka kwao. Katika sura hii, Qurani inaielezea sehemu nyingine ya upotovu na ukengeukaji wao na inatoa maelekezo juu ya namna ambayo Muumini inabidi awe katika akida yake na mwenendo wake. Aidha, inauweka wazi ukweli wa dini ya mbinguni na kuziashiria adabu za majadiliano. Pia, inaelezea juu ya desturi katika hali ya ushindi na kushindwa. Kadhalika, inabainisha daraja za mashahidi siku ya kiyama, malipo yao watakayolipwa sawa wake kwa waume na njia ya mafanikio. Sura hii, inaanza kwa namna ile ile ilivyoanza sura iliyotangulia.

 
Main Page Contact us Links About us Site Map