Qurani
/
17- SURAT AL-ISRAAI/
Aya 19
19- Na aliyeitaka akhera kwa vitendo vyake na kwayo alikuwa akitenda, na akawa anamwamini Mwenyezi Mungu na malipo Yake, basi hao vitendo vyao vitakubaliwa na Mwenyezi Mungu na watapata malipo kwa ajili yake.
Main Page
Contact us
Links
About us
Site Map