Main Page

Download
About Islam
Islamic Pillars
Prophetic Tradition
Islamic Encyclopedia
Non-Muslims
Legislation
Creed
Prophet's Stories
Islamic history
Islamic Architecture
Library
Islamic conferences
Islamic conferences
   Qurani /17- SURAT AL-ISRAAI/
 
Aya 29

29- Wala usiuzuilie mkono wako kutoa katika mambo ya kheri, ukaufanya kama uliofungwa pingu za chuma shingoni mwako ukawa huwezi kuukunjua. Wala usiukunjue wote kabisa kwa kutumia ovyo, la sivyo utakujatukanika kwa ubahili na ilhali una majuto, au utabaki huna kitu umefilisika kwa sababu ya ubadhirifu na israfu.

Previous         Next

Main Page Contact us Links About us Site Map