Qurani
/
17- SURAT AL-ISRAAI/
Aya 3
3- Nyinyi wana wa Israili, mmezalikana kutokana na watu safi wema waliokuwa na Nuhu katika safina baada ya kuwa wameamini, Nasi Tukawaokoa wasizame. Basi mfanyeni Nuhu kuwa ndiye mwongozi wenu wa kumfuata kama walivyomfanya wazee wenu waliotangulia. Hakika yeye alikuwa mja wa wingi wa shukurani kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa neema Zake.
Main Page
Contact us
Links
About us
Site Map