Qurani
/
17- SURAT AL-ISRAAI/
Aya 39
39- Na hayo ni katika Aliyokufunulia Mola wako katika kuijua haki kwa dhati yake, na kheri ipate kutendwa. Wala usimfanyie Mwenyezi Mungu kuwa na mungu mwingine, usije kutupwa katika jahanamu ukijilaumu na ukilaumiwa na wengine hali ya kuwa unaangamia na umefurushwa mbali na rehema za Mola wako.
Main Page
Contact us
Links
About us
Site Map