Main Page

Download
About Islam
Islamic Pillars
Prophetic Tradition
Islamic Encyclopedia
Non-Muslims
Legislation
Creed
Prophet's Stories
Islamic history
Islamic Architecture
Library
Islamic conferences
Islamic conferences
   Qurani /17- SURAT AL-ISRAAI/
 
Aya 4

4- Na Tukatekeleza hukumu Yetu kwa wana wa Israili katika yale Tuliyoyaandika katika ubao uliohifadhiwa ya kwamba bila shaka yoyote, watafanya ufisadi katika Baytul Maqdis mara mbili. Kila mara katika hizo, itakuwa ni udhalimu na uasi, na kuacha hukumu za Taurati, na kuwaua Manabii, na kusaidiana katika madhambi, na kwamba utawala wenu utaenea na kupanda kichwa na kiburi kwa dhuluma.

Previous         Next

Main Page Contact us Links About us Site Map