Qurani
/
17- SURAT AL-ISRAAI/
Aya 40
40- Mwenyezi Mungu Ameyachukia wayasemayo kwamba malaika ni mabinti Zake! Akasema: Je, Mola wenu Amekufadhilisheni kuliko Mwenyewe kwa kukupeni nyinyi watoto wenye nguvu zaidi wa kiume na Yeye Mwenyewe Akajichukulia mabinti katika malaika kama mnavyodai?! Kwa yakini, kwa maneno yenu hayo, mnazua matusi makubwa.
Main Page
Contact us
Links
About us
Site Map