Main Page

Download
About Islam
Islamic Pillars
Prophetic Tradition
Islamic Encyclopedia
Non-Muslims
Legislation
Creed
Prophet's Stories
Islamic history
Islamic Architecture
Library
Islamic conferences
Islamic conferences
   Qurani /17- SURAT AL-ISRAAI/
 
Aya 9

9- Hakika Qurani hii inawaongoza watu kwenye njia ambayo ndiyo njia iliyokaa sawa kabisa kuliko njia zote, na ndio njia ya salama kabisa ya kufikilia kwenye furaha ya kweli katika dunia. Na inawabashiria wenye kumwamini Mwenyezi Mungu na Mtume Wake ambayo wanaitii haki na wanatenda vitendo vyema, kuwa watapata ujira mkubwa siku ya kiyama.

Previous         Next

Main Page Contact us Links About us Site Map