Main Page

Download
About Islam
Islamic Pillars
Prophetic Tradition
Islamic Encyclopedia
Non-Muslims
Legislation
Creed
Prophet's Stories
Islamic history
Islamic Architecture
Library
Islamic conferences
Islamic conferences
   Qurani /5- SURAT AL - MAAIDAH /
 
Aya 19

19- Enyi Mayahudi na Wakristo! Hakika umewajieni ujumbe wa Mtume wetu anayewadhihirishieni haki baada ya kusimama kwa muda ili msipate njia ya kujitetea juu ya ukafiri wenu kwamba Mwenyezi Mungu Hajawaleteeni mtoaji wa habari njema wala mwonyaji. Basi ndio huyo mtoaji wa habari njema na mwonyaji amewajieni. Na Mwenyezi Mungu ndiye Mweza wa kila jambo ikiwemo kuteremsha risala, na Yeye ndiye Atakayewahisabuni kwa yale mliyokuwa mkiyafanya.

Previous         Next

Main Page Contact us Links About us Site Map