Qurani
/
5- SURAT AL - MAAIDAH /
Aya 29
29- Utapotaka kuniua, basi mimi sitokufanyia upinzani wowote ili upate kubeba dhambi za kuniua mimi pamoja na dhambi zako za kutomsafishia nia Mwenyezi Mungu tangu hapo. Kwa hivyo wewe unastahiki huko akhera kuwa ni miongoni mwa watu wa motoni. Na hayo ndiyo malipo ya haki ya Mwenyezi Mungu kumlipa kila dhalimu.
Main Page
Contact us
Links
About us
Site Map