Qurani
/
5- SURAT AL - MAAIDAH /
Aya 39
39- Lakini mwenye kutubia baada ya kutenda kosa lake na akavitengeneza vitendo vyake na akanyooka, basi Mwenyezi Mungu bila shaka Humpokea toba yake. Kwani hakika Mwenyezi Mungu ni Mwingi mno wa kusamehe na kurehemu.
Main Page
Contact us
Links
About us
Site Map