Qurani
/
5- SURAT AL - MAAIDAH /
Aya 9
9- Mwenyezi Mungu kwa fadhila Zake, Amewaahidi walioisadiki dini Yake na wakatenda vitendo vyema kuwa Atawasamehe dhambi zao na Atawalipa thawabu nyingi.
Main Page
Contact us
Links
About us
Site Map