Main Page

Download
About Islam
Islamic Pillars
Prophetic Tradition
Islamic Encyclopedia
Non-Muslims
Legislation
Creed
Prophet's Stories
Islamic history
Islamic Architecture
Library
Islamic conferences
Islamic conferences
   Qurani /16- SURAT ANNAHL /
 
Aya 1

1- Enyi washirikina! Kuweni na yakini kwamba Aliyokuonyeni Mwenyezi Mungu yatakuwa siku ya kiyama na yapo karibu kutokea bila shaka. Basi msifanye masihara kwa kuyahimiza yatokee. Mwenyezi Mungu Ametakasika na kuwa na mshirika wakuabudiwa badala Yake. Na Ametakasika na hiyo miungu mnayomshirikisha naye ambayo haiwezi jambo lolote!

Previous         Next

Main Page Contact us Links About us Site Map