Main Page

Download
About Islam
Islamic Pillars
Prophetic Tradition
Islamic Encyclopedia
Non-Muslims
Legislation
Creed
Prophet's Stories
Islamic history
Islamic Architecture
Library
Islamic conferences
Islamic conferences
   Qurani /16- SURAT ANNAHL /
 
Aya 2

2- Mwenyezi Mungu Huteremsha malaika kwa yanayohuisha nyoyo katika wahyi Wake juu ya yule Aliyemchagua kumpa utume katika waja Wake, ili wawafundishe watu kwamba hapana mungu wa kuabudiwa kwa haki ila Mimi. Basi jitengeni na yanayonikasirisha na yanayokuleteeni adhabu. Na shikamaneni na utiifu ili ukukingeni na adhabu.

Previous         Next

Main Page Contact us Links About us Site Map