Qurani
/
16- SURAT ANNAHL /
Aya 29
29- Na baada ya hayo wataambiwa: Mwisho wenu ni kuingia motoni, na adhabu ya huko ni ya milele, haikatiki. Na mbaya mno nyumba ya jahanamu kuwa ni makazi ya kila mwenye kutakabari akakataa kuifuata haki na kumwamini Mwenyezi Mungu na Mtume Wake.
Main Page
Contact us
Links
About us
Site Map