Qurani
/
16- SURAT ANNAHL /
Aya 3
3- Yeye Ameumba mbingu na ardhi kwa mujibu wa hekima. Mwenyezi Mungu Ametakasika kuwa na mshirika wa kufanya lolote katika utawala Wake au kustahiki kuabudiwa kama Yeye.
Main Page
Contact us
Links
About us
Site Map