Main Page

Download
About Islam
Islamic Pillars
Prophetic Tradition
Islamic Encyclopedia
Non-Muslims
Legislation
Creed
Prophet's Stories
Islamic history
Islamic Architecture
Library
Islamic conferences
Islamic conferences
   Qurani /16- SURAT ANNAHL /
 
Aya 39

39- Hakika katika Uadilifu wa Mwenyezi Mungu ni kuwa Atawafufua wote baada ya kufa kwao ili Apate kuwadhihirishia hakika ya mambo waliohitilafiana. Waumini wapate kujua kuwa wao wako katika haki, na makafiri wajue kwamba wao walikuwa makosani kwa kumfanyia Mwenyezi Mungu washiriki katika ungu, na pia ni waongo kwa kuapa kwao kwamba Mwenyezi Mungu Hamfufui anayekufa, na ili makundi yote mawili yapate malipo yao kwa kujua na kwa sababu zake.

Previous         Next

Main Page Contact us Links About us Site Map