Qurani
/
16- SURAT ANNAHL /
Aya 4
4- Amemuumba kila mmoja katika wanadamu kutokana na maji maji yasiyoshikamana, nayo ni manii. Kutokana na hayo ndio anakuwa mtu mwenye nguvu za kujitetea nafsi yake, mshindani na mahasimu zake na mwenye kuweka hoja zake wazi.
Main Page
Contact us
Links
About us
Site Map