Qurani
/
16- SURAT ANNAHL /
Aya 40
40- Na kuwafufua watu siku ya kiyama, si jambo zito Kwetu, hata hao makafiri wakayaona hayawi! Kwani Sisi Tutakapo kitu kiwe hatuna haja ya lolote ila ni kusema tu: Kuwa! Na kinakuwa kama Tutakavyo.
Main Page
Contact us
Links
About us
Site Map