Main Page

Download
About Islam
Islamic Pillars
Prophetic Tradition
Islamic Encyclopedia
Non-Muslims
Legislation
Creed
Prophet's Stories
Islamic history
Islamic Architecture
Library
Islamic conferences
Islamic conferences
   Qurani /16- SURAT ANNAHL /
 
Aya 9

9- Na ni juu ya Mwenyezi Mungu kwa mujibu wa fadhila Yake na rehema Yake, kukuonyesheni njia iliyonyooka ya kukufikisheni kwenye kheri. Na zipo njia zilizopotoka zisizofikisha kwenye haki. Na lau Angelitaka kukuongoeni nyote, basi Angalikuongoeni Akakuingizeni kwenye njia iliyonyooka. Lakini Amekuumbieni akili ya kutambua, matakwa ya kuelekezwa na Akakuachieni na hiari yenu.

Previous         Next

Main Page Contact us Links About us Site Map