Qurani
/
4- SURAT AN NISAA/
Aya 2
2- Na wapeni mayatima mali yao wanayostahiki na yalindeni vyema, na wala msiwape kibaya mkawanyima kizuri. Wala msichukue mali zao mkaziongezea juu ya mali zenu, kwani kitendo hicho ni dhambi kubwa.
Main Page
Contact us
Links
About us
Site Map