Qurani
/
4- SURAT AN NISAA/
Aya 29
29- Enyi mlioamini! Msidhulumiane mali nyinyi kwa nyinyi. Lakini ipo ruhusa kufanya biashara kwa kuridhiana. Wala msijiangamize wenyewe kwa kutofuata amri za Mola wenu. Wala mmoja wenu asimtendee uovu mwenziwe kwani nyote mnatokana na nafsi moja. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye rehema kwenu daima.
Main Page
Contact us
Links
About us
Site Map