Qurani
/
4- SURAT AN NISAA/
Aya 40
40- Hakika Mwenyezi Mungu Hamdhulumu mtu chochote. Hampunji malipo ya kazi yake wala Hamzidishii adhabu. Humwongezea anayetenda wema thawabu za mema yake vyovyote yatakavyokuwa madogo, na Hutoa sana katika fadhila Zake mbali ya mema Anayoyaongezea malipo.
Main Page
Contact us
Links
About us
Site Map