Qurani
/
4- SURAT AN NISAA/
Aya 9
9- Na watahadhari watu wasidhulumu mayatima na wawaogopee watoto wao wanyonge wasije na wao wakadhulumiwa kwa yale wayatendayo wazee kwa mayatima. Na wamche Mwenyezi Mungu katika kuwatendea mayatima. Na waseme maneno yaliyo sawa yanayofuata haki, wala wasimdhulumu yoyote.
Main Page
Contact us
Links
About us
Site Map