Qurani
/
13- SURAT AR RAAD/
Aya 19
19- Hakika walioongoka na waliopotoka hawawi sawa. Basi je, anayejua ya kuwa ulioteremshiwa kutoka kwa Mwenyezi Mungu Aliyekulea, Akakuumba na Akakuteua kuufikisha ujumbe Wake kuwa ni haki isiyo na shaka, je, huweza kuwa huyo kama aliyepotea akaitupa haki hata akawa kama kipofu asiyeona? Hakika hawaitambui haki wakauzingatia Utukufu wa Mwenyezi Mungu, ila watu wenye akili ya kufikiri.
Main Page
Contact us
Links
About us
Site Map