Qurani
/
13- SURAT AR RAAD/
Aya 39
39- Mwenyezi Mungu Hufuta sheria na miujiza, na Huleta badala yake Ayatakayo na Huthibitisha. Na Kwake Yeye ipo asili ya sheria iliyothibiti isiyogeuka, nayo ni upweke Wake na asili ya fadhila zote na mengineyo.
Main Page
Contact us
Links
About us
Site Map