Main Page

Download
About Islam
Islamic Pillars
Prophetic Tradition
Islamic Encyclopedia
Non-Muslims
Legislation
Creed
Prophet's Stories
Islamic history
Islamic Architecture
Library
Islamic conferences
Islamic conferences
   Qurani /13- SURAT AR RAAD/
 
Aya 4

4- Na hakika ardhi yenyewe ina maajabu! Ndani yake vipo vipande vya ardhi vilivyokaribiana, navyo juu ya hivyo, vina udongo tofauti. Vingine vya ardhi ni yabisi na vingine ni vya rutuba, ijapokuwa ni udongo uleule. Ndani yake, yapo mabustani yaliyojaa miti ya mizabibu, na ndani yake yapo mazao yanayovunwa na mitende inayozaa, nayo ama inakusanyika au iko mbalimbali. Na yote hayo, ijapokuwa inanyweshewa kwa maji yaleyale, lakini yanatofautiana kwa ladha zake. Na hakika katika maajabu haya, zipo dalili wazi za kuonyesha Uwezo wa Mwenyezi Mungu kwa mwenye akili ya kufikiria.

Previous         Next

Main Page Contact us Links About us Site Map