Qurani
/
13- SURAT AR RAAD/
Aya 40
40- Na Tukikuonyesha baadhi ya malipo au adhabu Tulizowaahidi, au Tukakujaalia ufe kabla ya hayo, basi ungaliona kitisho kinachowashukia washirikina, na ungaliona neema za Waumini! Lakini haya hayakuhusu wewe, juu yako wewe ni kuufikisha ujumbe tu, na Kwetu Sisi Peke Yetu ndio hesabu.
Main Page
Contact us
Links
About us
Site Map