Qurani
/
13- SURAT AR RAAD/
Aya 9
9- Yeye ndiye Anayejua yaliyofichikana tusiyoyahisi, na Anayajua tunayoyashuhudia kwa ujuzi zaidi kuliko tunavyoshuhudia sisi na kuona. Na Yeye Subhana, ndiye Mwenye shani kubwa iliyotukuka juu ya kila kiumbe.
Main Page
Contact us
Links
About us
Site Map