Qurani
/
9- SURAT AT TAWBAH/
Aya 2
2- Basi nyinyi washirikina mna amani kwa muda wa miezi minne kuanzia tangazo hili la kujitenga katika dhima, mwende mtakako katika muda huu. Lakini jueni kwamba popote mlipo nyinyi, basi mko chini ya Utawala wa Mwenyezi Mungu, na nyinyi hamwezi kumshinda Yeye. Na hakika Mwenyezi Mungu Amewaandikia udhalili uwapate hao wanaompinga.
Main Page
Contact us
Links
About us
Site Map