Qurani
/
9- SURAT AT TAWBAH/
Aya 39
39- Kama msipomwitikia Mtume mkatoka kwenda kupigana jihadi katika Njia ya Mwenyezi Mungu, basi Mwenyezi Mungu Atakuadhibuni adhabu iumizayo. Na Mola wenu Atawaleta watu wengine badala yenu wanaomwitikia Mtume na wala hawatabaki nyuma kwenda jihadi. Na wala hamtamdhuru Mwenyezi Mungu chochote kwa kukataa kwenu kwenda jihadi. Na Mwenyezi Mungu ni Mwenye uwezo mkubwa juu ya kila kitu.
Main Page
Contact us
Links
About us
Site Map