Qurani
/
9- SURAT AT TAWBAH/
Aya 4
4- Ama wale washirikina mlioahidiana nao, na wao wakawatimizia ahadi zao bila ya kuacha chochote katika hayo, na wala hawakumsaidia yeyote dhidi yenu, basi watimizieni ahadi zao mpaka mwisho na mziheshimu. Kwani Mwenyezi Mungu Huwapenda wachaMungu wenye kutimiza ahadi zao.
Main Page
Contact us
Links
About us
Site Map