Main Page

Download
About Islam
Islamic Pillars
Prophetic Tradition
Islamic Encyclopedia
Non-Muslims
Legislation
Creed
Prophet's Stories
Islamic history
Islamic Architecture
Library
Islamic conferences
Islamic conferences
   Qurani /10- SURAT YUNUS/
 
Aya 19

19- Watu kwa maumbile yao, hawakuwa ila ni umma mmoja tu kwa mujibu wa umbile la kibinadamu. Kisha Tukawapelekea Mitume wawaongoze na wawaongoe kwa mujibu wa Ufunuo wa Mwenyezi Mungu Mtukufu. Tabia hii ya kibinadamu iliyokuwa tayari kwa kheri na shari, imekuwa ndio sababu ya shari kuwa na nguvu zaidi kwa baadhi yao, na kuyafanya matamanio na nyendo za shetani kuwatawala, na kwa hivyo wakahitilafiana. Ewe Nabii! Na lau kuwa hukumu ya Mola wako haikutangulia ya kuwapa muhula makafiri kwa ajili yako na kuyachelewesha maangamizo yao mpaka siku maalumu iliyoahidiwa, basi Mwenyezi Mungu Angaliwapelekea upesi maangamizo na adhabu, kwa sababu ya mfarakano waliyouingia, kama zilivyoingia kaumu zilizokwishapita.

Previous         Next

Main Page Contact us Links About us Site Map