Qurani
/
10- SURAT YUNUS/
Aya 2
2- Haiwafalii watu kustaajabu na kuukanusha wahyi Wetu Tunaomfunulia mtu mmoja wao (Muhammad), ili awahadharishe watu na Adhabu ya Mwenyezi Mungu na awape habari njema wale walioamini miongoni mwao ya kwamba hapana shaka wana cheo cha juu kwa Mola wao. Na Ahadi ya Mwenyezi Mungu haigeuki. Wala haiwafalii watu hao wakanushaji kumsema Mtume Wetu Muhammad kuwa yeye ni mchawi maarufu.
Main Page
Contact us
Links
About us
Site Map