Qurani
/
10- SURAT YUNUS/
Aya 29
29- Mwenyezi Mungu Anatutosheleza kwa elimu Yake na hukumu Yake kuwa ni Shahidi na Mwamuzi baina yetu na nyinyi. Hakika sisi tulikuwa mbali nanyi, wala hatukuwa tunahisi ibada yenu kwetu sisi.
Main Page
Contact us
Links
About us
Site Map