Main Page

Download
About Islam
Islamic Pillars
Prophetic Tradition
Islamic Encyclopedia
Non-Muslims
Legislation
Creed
Prophet's Stories
Islamic history
Islamic Architecture
Library
Islamic conferences
Islamic conferences
   Qurani /10- SURAT YUNUS/
 
Aya 4

4- Kama Mwenyezi Mungu Alivyoanzisha uumbaji, basi marejeo yenu na marejeo ya viumbe vyote ni Kwake Yeye. Na Mwenyezi Mungu Ameahidi hivyo kwa ahadi ya kweli isiyovunjika. Na hakika Yeye Subhana Ameanzisha uumbaji wa viumbe kwa uwezo Wake, na vitakapoteketea, Atavirejesha kwa uwezo Wake, ili Awalipe Waumini wenye kumtii thawabu kwa uadilifu Wake uliotimia. Ama makafiri, wao huko katika jahanamu, watapewa vinywaji vinavyotokota kweli kweli, na watapata adhabu yenye kutia machungu kuwa ni malipo ya ukafiri wao.

Previous         Next

Main Page Contact us Links About us Site Map