Qurani
/
10- SURAT YUNUS/
Aya 40
40- Na miongoni mwa wakanushaji hawa, wapo ambao watakuja kuiamini Qurani baada ya kufahamu yaliyomo ndani yake na kuelewa maana yake. Na kipo miongoni mwao kikundi ambacho hakiamini wala hakiachi upotovu wake! Na Allah Subhana Anawajua vyema mafisadi wakanushaji na Atawalipa kwa vitendo vyao.
Main Page
Contact us
Links
About us
Site Map