Qurani
/
12- SURAT YUSUF/
Aya 1
1- Alif, Laam, Raa. Herufi hizi na mifano yake, zinazofanya maneno yenu, enyi Waarabu, ndizo hizo hizo zinazofanya aya zote za Kitabu hichi cha muujiza unaowaemea watu kuuiga kwa yote yaliyomo ndani yake, kilicho wazi na kinachofafanua kwa kila mwenye kutafuta uongozi ndani yake na uongofu. Na kwa herufi hizo za kutamkika zikasikilizana sauti yake, wanazinduliwa watanabahi. Basi wasikilize, ijapokuwa waliwafikiana kuwa wasisikilize.
Main Page
Contact us
Links
About us
Site Map