Qurani
/
12- SURAT YUSUF/
Aya 3
3- Sisi Tunakusimulia, ewe Nabii, visa bora kwa kukufunulia Kitabu hichi. Na kabla ya kusimuliwa, ulikuwa miongoni mwa walioghafilika navyo, huyajui haya, wala mawaidha yaliyomo ndani yake, na aya zake zilizo wazi.
Main Page
Contact us
Links
About us
Site Map