Qurani
/
12- SURAT YUSUF/
Aya 39
39- Enyi wenzangu wawili wa gerezani! Je, miungu mingi mbalimbali ambayo kwayo mtu ananyenyekea kwa kila mmoja wao ni bora, au kwa Mwenyezi Mungu Mmoja Asiyeshindika?
Main Page
Contact us
Links
About us
Site Map