Qurani
/
12- SURAT YUSUF/
Aya 4
4- Katika visa hivi, ewe Nabii, ni kisa cha Yusufu pale alipomwambia baba yake: Ewe babangu! Hakika mimi nimeona usingizini nyota kumi na moja, jua na mwezi. Nimeona vyote hivyo vikininyenyekea na vikisujudu mbele yangu.
Main Page
Contact us
Links
About us
Site Map