Main Page

Download
About Islam
Islamic Pillars
Prophetic Tradition
Islamic Encyclopedia
Non-Muslims
Legislation
Creed
Prophet's Stories
Islamic history
Islamic Architecture
Library
Islamic conferences
Islamic conferences
   Qurani /12- SURAT YUSUF/
 
Aya 40

40- Hamwabudu badala ya Mwenyezi Mungu ila majina tu mliyoyazua nyinyi na baba zenu kwa dhana bila ya kuwepo ukweli. Mwenyezi Mungu Hakuiteremsha hoja wala ushahidi wa kuwaita miungu. Hapana wa kuhukumu nini kinachofaa kuabudiwa na kipi hakifai ila Mwenyezi Mungu tu. Yeye Ameamrisha msimnyenyekee yeyote mwinginewe, na mumwabudu Yeye Peke Yake. Hiyo ndio dini iliyo nzima na iliyonyooka ambayo ushahidi na dalili zinaelekea kwake. Lakini wengi wa watu hawataki uongozi wa dalili hizi, wala hawajijui kuwa wamo katika ujinga na upotovu!

Previous         Next

Main Page Contact us Links About us Site Map