Main Page

Download
About Islam
Islamic Pillars
Prophetic Tradition
Islamic Encyclopedia
Non-Muslims
Legislation
Creed
Prophet's Stories
Islamic history
Islamic Architecture
Library
Islamic conferences
Islamic conferences
   Qurani /12- SURAT YUSUF/
 
Aya 9

9- Muueni Yusufu, au mtupeni nchi iliyo mbali na baba yake asiyoweza kuifikia, hapo yatakufikieni nyinyi mapenzi ya baba yenu na atakuelekeeni. Na baada ya kumtenga Yusufu naye kwa kumwuua au kumhamisha, mtakuwa watu wema, kwani Mwenyezi Mungu Atakubali toba yenu, na baba yenu ataupokea udhuru wenu.

Previous         Next

Main Page Contact us Links About us Site Map